Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.
Episode | Date |
---|---|
VOA Express - Mei 17, 2024
|
May 17, 2024 |
Mwanasheria wa Tanzania Anna Henga aeleza kile wanaharakati wanataka serikali ifanye kuboresha sheria kuhusu ukatili wa kijinsia. - Mei 16, 2024
|
May 16, 2024 |
VOA Express - Mei 15, 2024
|
May 15, 2024 |
Vijana wa Uganda walalamikia tozo mbalimbali wakisema ni vizingiti kwa wanaotaka kuanzisha biashara ndogondogo - Mei 14, 2024
|
May 14, 2024 |
Vijana wanaovua samaki kutoka ziwa Victoria walalamikia kuzorota kwa biashara kutokana na mafuriko - Mei 13, 2024
|
May 13, 2024 |
Kenya yaomboleza vifo vya mamia ya watu kutokana na mafuriko na yahimiza Wakenya kupanda miti kwa wingi - Mei 10, 2024
|
May 10, 2024 |
Kijana mkimbizi kutoka kambi ya Kakuma nchini Kenya anaelezea maisha ya vijana katika kambi za wakimbizi - Mei 09, 2024
|
May 09, 2024 |
Wanawake Afrika mashariki wanaelezea umuhimu ikiwemo faida katika matumizi ya nishati mbadala. - Mei 08, 2024
|
May 08, 2024 |
Kansela wa masuala ya watoto anaelezea namna watoto wanavyoweza kuelimishwa ili kuepuka matukio yanayowashawishi kuingia katika ngono. - Mei 07, 2024
|
May 07, 2024 |
Vijana Miraji na Khadija wana maoni mseto kuhusu ndoa za kutafutiwa na zile ambazo vijana wanajitafutia wao wenyewe. - Mei 06, 2024
|
May 06, 2024 |
Shule kuendelea kufungwa Kenya kutokana na mafuriko - Mei 03, 2024
|
May 03, 2024 |
Changamoto ya vijana kutaka kuingia kwenye sekta ya burudani kama njia ya kujiajiri - Mei 02, 2024
|
May 02, 2024 |
Baadhi ya vijana wa Tanzania na Uganda wanaelezea hali ya fursa na changamoto za ajira zilizopo katika maadhimisho la siku ya wafanyakazi. - Mei 01, 2024
|
May 01, 2024 |
Madaktari bingwa wanatarajiwa kuwasili Morogoro nchini Tanzania kufanya uchunguzi na kutibu maradhi mbalimbali kwa wakaazi katika mkoa huo. - Aprili 30, 2024
|
Apr 30, 2024 |
Vijana waeleza iwapo mitandao ya kijamii imesababisha baadhi yao kuishi maisha feki, ila hali wanateseka. - Aprili 29, 2024
|
Apr 29, 2024 |
Kongamano la kimataifa la kidijitali la Connected Africa Summit lamalizika Nairobi, na kupendekeza mengi yatakayonifaisha vijana. - Aprili 26, 2024
|
Apr 26, 2024 |
Dunia inaadhimisha siku ya Malaria kwa kauli mbiu "Kuharakisha mapambano dhidi ya Malaria kwa dunia yenye usawa zaidi". - Aprili 25, 2024
|
Apr 25, 2024 |
Edwik anaeleza mafunzo aliyopata ya kuwalinda watoto wakati wa majanga katika warsha iliyoandaliwa na Raising Up Friendship ya Tanzania. - Aprili 24, 2024
|
Apr 24, 2024 |
Kuongeza miundombinu ya mawasiliano katika maeneo ya vijijini ni moja ya njia ya kumpa fursa mwanamke wa kijijini sawa na wa mjini - Aprili 23, 2024
|
Apr 23, 2024 |
Je ni njia ipi inayofaa zaidi katika kutoa ushauri nasaha? Ni ya moja kwa moja au ya kimitandao? Mtaalam atoa maoni. - Aprili 22, 2024
|
Apr 22, 2024 |