Dr Boaz Mkumbo

By Dr Boaz Mkumbo

Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.

Image by Dr Boaz Mkumbo

Category: Nutrition

Open in Apple Podcasts


Open RSS feed


Open Website


Rate for this podcast

Subscribers: 0
Reviews: 0
Episodes: 100

Description

Jifunze nyenzo ya sayansi ya mapishi. Utapata Elimu ya magonjwa yasiyo ambukiza,Elimu ya magonjwa ya homoni,elimu ya lishe,kanuni za mapishi na Kanuni za Kula ulichopika. Kiujumla utajitibia Magonjwa ya lishe na Homoni kwa kutumia Chakula unachopika wewe mwenyewe jikoni.

Episode Date
Kwanini watu wanapata ugumba, matatizo ya uzazi, nguvu za kiume n.k
May 07, 2024
Tiba ya chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume bila kidonge
May 07, 2024
Vitafunwa kwa mgonjwa wa kisukari, shinikizo la damu n.k
May 07, 2024
Vitafunwa vya lishe
May 06, 2024
Magonjwa yanayofunga uzazi
May 06, 2024
mambo 10 yanayosababisha mayai kutopevuka
May 06, 2024
Tambua umuhimu wa kufanya vipimo
May 04, 2024
Zijue kazi za Homoni
May 04, 2024
Jifunze kupunguza kitambi bila dawa
May 04, 2024
Madhara ya kula chakula usiku
May 03, 2024
Madhara ya sumu za vyakula
May 03, 2024
Madhara ya ugonjwa wa U.T.I
May 03, 2024
Sayansi ya homoni na ugumba
Apr 30, 2024
Muda sahihi wa kula chakula
Apr 30, 2024
Madhara ya juisi ya miwa
Apr 30, 2024
Mpangilio wa chakula kupunguza uzito, kitambi na kisukari.
Apr 29, 2024
Hatua za kuzingatia kupunguza uzito na kitambi
Apr 29, 2024
Dalili za kupungukuiwa damu
Apr 29, 2024
Madhara ya pombe na sigara
Apr 27, 2024
Ushauri unaopotosha kupunguza presha
Apr 27, 2024
Nsambo Healthcare tunadhibiti magonjwa ya lishe
Apr 27, 2024
Mambo yanayobomoa afya yako
Apr 26, 2024
Vyakula salama vitakavyokusaidia ukiwa safarini
Apr 26, 2024
Dondoo za kitabu cha Sayansi ya Mapishi
Apr 26, 2024
Madhara ya jamii kupuuza kitambi huku inanenepa
Apr 25, 2024
Madhara ya kitambi kwa jamii inayopuuza.
Apr 25, 2024
Jinsi jamii inavyopuuza kitambi huku inanenepa
Apr 25, 2024
Mgonjwa wa kisukari ashuhudia alivyonusurika kukatwa mguu.
Apr 24, 2024
Faida ya kula mayai na kiini chake
Apr 24, 2024
Mambo ya kuzingatia kurudisha nguvu za kiume
Apr 24, 2024
Madhara ya uvutaji wa sigara na vyakula vya kukaanga
Apr 23, 2024
Ukweli kuhusu kitambi
Apr 23, 2024
Jinsi ya kugundua kama mwili umejaa sumu
Apr 23, 2024
Suluhisho la magonjwa ya uzazi
Apr 20, 2024
Zijue njaa za kisaikolojia
Apr 20, 2024
Muundo wa sahani tiba
Apr 20, 2024
Jinsi ya kuunguza mafuta kupunguza tumbo na kitambi kwa urahisi
Apr 19, 2024
Vyakula vya kuviepuka wakati wa kifungua kinywa
Apr 19, 2024
Jinsi ya kupangilia mlo kupona maonjwa ya lishe
Apr 19, 2024
Jinsi ya kupunguza / Kujikinga dhidi ya msongo wa mawazo. Sehemu ya 3
Apr 18, 2024
Madhara ya Msongo wa mawazo. Sehemu ya 2
Apr 18, 2024
Chanzo/Sababu za msongo wa mawazo. Sehemu ya 1
Apr 18, 2024
Chakula baada ya Ramadhani
Apr 17, 2024
Sababu za moyo kupanuka
Apr 17, 2024
Dalili za moyo kupanuka
Apr 17, 2024
Sababu za mwanaume kufa mapema kuliko mwanamke
Apr 16, 2024
chakula salama kiafya
Apr 16, 2024
Kiungo salama cha chai
Apr 15, 2024
Madhara ya kitamb, uzito mkubwa kwa mtoto
Apr 15, 2024
Jiunge na madarasa ya lishe
Apr 15, 2024
Ashuhudia baada ya kupata huduma Nsambo Healthcare
Apr 13, 2024
Suluhisho la mamumivu ya hedhi
Apr 13, 2024
Madhara ya Punyeto
Apr 12, 2024
Unga bora kwa ukuaji wa mtoto
Apr 12, 2024
Kwanini mgonjwa wa kisukari asinywe juisi
Apr 12, 2024
Jinsi ya kuimarisha afya ya ubongo.
Apr 11, 2024
Tiba ya chunusi, ngozi kuwasha.
Apr 11, 2024
Mafunzo ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa
Apr 09, 2024
Umuhimu wa mafuta ya nazi kwenye chakula
Apr 09, 2024
Afya ya uzazi
Apr 09, 2024
Jinsi ya kupunguza kitambi bila dawa
Apr 08, 2024
Ukweli mtupu kuhusu maziwa ya ng'ombe na ugonjwa wa kansa.
Apr 08, 2024
Elimu ya Cholesterol na magonjwa ya lishe
Apr 08, 2024
Dhibiti magonjwa ya lishe kwa kuzingitia sayansi ya mapishi.
Apr 05, 2024
Ugumba, upungufu wa nguvu za kiume, ukosefu wa hamu yatendo la ndoa. Jiunge mafunzo haya.
Apr 04, 2024
Lishe bora na Dr.Boaz
Apr 04, 2024
Madhara ya kula chipsi
Apr 04, 2024
Mafuta salama ya kupikia. kujikinga na magonjwa ya lishe.
Apr 04, 2024
Jinsi ya kujigundua kama unakisukari kilichojificha
Apr 03, 2024
Njia ya kuhesabu mzunguko wa hedhi salama.
Apr 03, 2024
kinga na tiba ya ugonjwa wa Goita
Apr 03, 2024
Madhara ya ugonjwa wa UTI
Apr 02, 2024
Madhara ya matunda matamu kwa mgonjwa wa kisukari
Apr 02, 2024
Dalili za ugonjwa wa kisukari
Apr 02, 2024
Jinsi funga inavyosaidia kudhibiti kisukari
Apr 02, 2024
Faida za mazoezi na kula kiafya ukizingatia lishe bora.
Mar 30, 2024
Madhara ya vyakula vya kukaanga
Mar 30, 2024
Mafunzo ya afya ya uzazi. Jiunge sasa
Mar 30, 2024
Bidhaa za lishe za Sayansi ya Mapishi
Mar 29, 2024
Jinsi ya kupunguza kasi ya kuzeeka
Mar 29, 2024
Madhara ya kunywa maji ya baridi
Mar 29, 2024
Njia za kujikinga na ugonjwa wa saratani (cancer)
Mar 29, 2024
Nguvu za kiume, tendo la ndoa na lishe.
Mar 27, 2024
Tofauti ya kupungua kiafya na kupungua kimaradhi
Mar 27, 2024
Dr. Boaz na tiba ya maumivu ya misuli, mifupa na moyo
Mar 27, 2024
Njia salama na rahisi za kuondoa sumu mwilini.
Mar 27, 2024
Tofauti kati ya magonjwa ya lishe na magonjwa ya kuambukiza
Mar 26, 2024
JIinsi vyakula vinavyokufanya usifurahie tendo la ndoa.
Mar 26, 2024
Vipimo vya kuzingatia ili ufanikiwe kubeba mimba.
Mar 26, 2024
Kwanini mtu anapata upungufu wa damu. Dalili na matibabu yake.
Mar 25, 2024
Punguza uzito ,matiti bila kupungua hips
Mar 25, 2024
Mpangilio wa chakula cha wanga ili kupunguza Uzito
Mar 25, 2024
Matibabu ya gesi, kungulia na vidonda vya tumbo
Mar 23, 2024
Ijue sayansi ya maapishi kudhibiti kisukari,gsi, kiungulia, shinikizo la damu, kukosa hamu ya tendo la ndoa
Mar 23, 2024
Sababu na suluhisho la maumivu ya mwili, mifupa na joint
Mar 23, 2024
Ukweli kuhusu nyama nyekundu na ugonjwa wa kansa. SEHEMU YA 2
Mar 21, 2024
Ukweli kuhusu nyama nyekundu na ugonjwa wa kansa. SEHEMU YA 1
Mar 21, 2024
Jinsi milo mingi inavyofanya usipungue kitambi
Mar 21, 2024
Sababu za mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa
Mar 19, 2024
Kwanini vyakula vya wanga na sukari sio mlo mkuu
Mar 19, 2024