Coach Aifa

By Coach Aifa

Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.

Image by Coach Aifa

Category: Courses

Open in Apple Podcasts


Open RSS feed


Open Website


Rate for this podcast

Subscribers: 0
Reviews: 0
Episodes: 35

Description

Hii ni Podcast ambayo inakufundisha jinsi ya kutumia fursa ya network marketing business (biashara Ya mtandao) na internet (mitandao ya kijamii) kutengeneza faida ya milioni kwa mwezi.

Episode Date
35: Unauzaje bidhaa zatu..? (marketing & pricing by Coach Mloka)
Jul 18, 2022
34-Jinsi ya kumfatilia mteja wako na akanunua bidhaa by SE/SB Mr Jamada partner @ ECONOMY DRIVER 2.0
Jan 31, 2021
33-Jinsi ya kujiandaa kisaikolojia na kutengeneza pesa mtandaoni kama kiongozi MC/GE BENEDICT KELLEY
Dec 11, 2020
32-Jinsi MC/GE. BENEDICT KELLEY alivyo tumia biashara ya mtandao na kutengeneza Million 10 (1 year)
Dec 10, 2020
31-Jinsi ya kuwafatilia wateja wako Mtandao na kuweza kurudi kununua tena na tean kwako. (Follow up)
Dec 10, 2020
30-[Siri ya 01 ya biashara ya mtandao] How to make your personal story in mlm (MIRACLE morning 01)
Oct 07, 2020
29-Jinsi ya kuongeza ENGAGEMENT Facebook na kuuza biashara yako
Jul 02, 2020
28-Namna ya kutengeneza uhitaji wa mteja kuchukua bidhaa yako ONLINE
Jun 21, 2020
27-Baada ya Kupata SIGN up TISA KWA SIKU MBILI PEKEE, kiongozi Abigail ameshare nasi siri.
May 04, 2020
26-Kabra uja mu-add Prospect wako katika ONLINE seminar (W.O.P.P + ZOOM) FANYA SIRI HII BY TOP 16 TZ
Apr 29, 2020
25- Special Training for ALPHA TEAM ONLY (BEWARE OF MLM JUMPERS)
Apr 22, 2020
24-THE BEGINNER'S GUIDE PROGRAM Eps01 (Jinsi ya ku-connect na Prospect au mteja wako) by G.A Moses
Apr 06, 2020
23-Mambo makuu matatu ya kuzingatia kupata pesa katika social media
Mar 02, 2020
22-Mambo 3 ya kufanya kila siku kukusanya pesa yako via mtandao wa internet.
Feb 24, 2020
21-Njia Kuu 3 za kuuza kirahisi kwa mteja wako hata kama hamjuani.
Feb 07, 2020
20-Jinsi ya kutengetengeneza tangazo linalo nasa wateja kutoka Facebook na kuwaleta WhatsApp Group
Feb 05, 2020
19-Jinsi Emmanuela alivyo tengeneza tsh850,000 ndani ya miezi 5 kupitio Facebook-whatsApp business.
Jan 29, 2020
18-Hujui unataka nini, kwani tayari mwezi unaisha leo 29th. |makavu live
Jan 29, 2020
17-Jinsi ya kutumia cell story katika maongezi yako na mteja wako.(ONLINE and OFFLINE)
Jan 23, 2020
16-Kwanini unatamaa? | Ukweli utakuweka huru, epuka kubeti katika safari ya mafanikio ya biashara.
Jan 21, 2020
15-Mambio 3 ya kufanya kilasiku kukusaya pesa yako dani ya mtandao wa internet kupitia simu yako.
Jan 19, 2020
14-fomula raisi ya kutengeneza sumaku ya kunasa wateja katika mtandao wako wa Facebook
Jan 17, 2020
13-Mambo 3 ya kuzingatia katika matangazo yako ya Facebook kuweza pata mafuliko ya wateja/Prospects.
Jan 16, 2020
12-Jinsi ya kusoma akili ya mteja/Prospect wako mtarajiwa kabra ya kumuuzia via ONLINE
Jan 14, 2020
11-jinsi ya kutumia WhatsApp business kuweza kuuza bidhaa yako ama huduma yako ya marketing plan.
Jan 12, 2020
10-usicho kijuwa na kimejificha ndani yako kuweza kukuza biashara yako ONLINE
Jan 10, 2020
9-Jinsi S.E Joseph Magesa alivyo tengeneza tsh 600,000 ndani ya wiki Moja kupitia PROGRAM yetu.
Jan 09, 2020
8-Jinsi S.E Aisha Mohammed alivyo tengeneza tsh750,000 ndani ya mwezi mmoja tu.
Jan 08, 2020
7-Ukweli halisi kuhusu Facebook page na WhatsApp business ndani ya biashara yako
Jan 07, 2020
6-Usitangaze bihaa, tangaza utatuzi wa changamoto inayo tatuliwa na bidhaa.
Jan 06, 2020
5-zingatia mambo haya matatu unapo taka ku run tangazo lako ndani ya internet(Dan Kenedi formula)
Jan 05, 2020
4-Elewa namna ya kutengeneza traffic kila siku katika mtandao wa internet kukuza biashara yako
Jan 04, 2020
3-Elewa upo katika biashara gani, kisha nasa wateja wako kama sumaku ndani ya internet.
Jan 03, 2020
2-Njia kuu 3 za kutumia kuweza kusafisha akili yako na kujiandaa kukuza biashara yako kila siku.
Jan 02, 2020
1-Mambo 6 ya kuzingatia kuweza kumasta mtandao wa internet kukuza biashara yako.
Jan 01, 2020