DAKA CODE

By John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy

Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.


Category: Entertainment News

Open in Apple Podcasts


Open RSS feed


Open Website


Rate for this podcast

Subscribers: 0
Reviews: 0
Episodes: 148

Description

Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!

Episode Date
Mabadiliko mapya ya Teknolojia | Akili Bandia kwa Creators
Nov 14, 2023
Jyner Lucas amtetea Chris Brown | iPhone 15 zinaonyesha taarifa nyingi za Betri | App zinazomaliza data kwenye simu
Sep 20, 2023
Kifo cha msanii Mohbadi kimeleta utata | iOS 17 inatoka leo | Jinsi ya kuhifadhi video za Instagram kwa kutumia Telegram
Sep 18, 2023
Davido anatoza dola 600k kwa show moja | WhatsApp itaweka sehemu mpya | App 5 zinazotumia Akili Bandi kutengeneza video
Sep 11, 2023
Albums na Songs mpya za wiki hii | Clubhouse imebadilisha mpangilio wa app yake | Hatua 5 za kufuata kwa content creator mpya anayeanza
Sep 08, 2023
Burna Boy ameshirikishwa katika soundtrack ya NBA 24 | Instagram na TikTok zitaweka mabadiliko mapya | Sababu zinazopelekea bundle za simu kuisha haraka
Sep 06, 2023
Drake amempa shabiki wake 50k | WhatsApp itaweka mwonekano mpya | Games nzuri 5 za bure
Sep 04, 2023
Davido amenunua cheni ya Euro 500k | Telegram imeweka Stories kwa watumiaji wote | Jinsi ya kutumia photosphere
Aug 16, 2023
Tiwa Savage ni msanii anayeongoza kwa kuwa na followers wengi katika Instagram | Mwonekano wa Call Screen ya iPhone utabadilika mwaka huu | Website 5 za kupata presets bure
Aug 14, 2023
Tory Lanez amehukumiwa miaka 10 jela | WhatsApp imeweka uwezo wa screen sharing | Kamera ya kwanza kutumia mfumo wa 4K
Aug 09, 2023
Kanye West na mke wake wametembea peku | Instagram itadhibiti Direct Messages (DM) | Mabadiliko mapya ya Premiere Pro
Aug 04, 2023
Jux na Diamond Platnumz wamevunja rekodi TikTok | YouTube Shorts inajaribu kuiga TikTok | Fahamu kuhusu NearBy Share
Aug 03, 2023
Burna Boy amekuwa msanii wa Afrika ambaye amejaza uwanja wa Citi Field New York | Zaidi ya akaunti Milioni 100 zimejiunga na mtandao wa Threads | Jinsi ya kuweka Cinematic Wallpaper kwenye Androids
Jul 10, 2023
Creators ambao wanaongoza kwa idadi kubwa ya Followers katika TikTok | App ya Threads itaanza kupatikana July 6 | Jinsi ya ku-edit picha kwenye Web Browser
Jul 05, 2023
Hali imezidi kuwa mbaya gerezani kwa R Kelly | Sakata la Twitter kuweka mfumo wa kudhibiti Tweets ambazo unaweza kuziona kwa siku | Matumizi ya AI kwenye app ya Lightroom
Jul 03, 2023
Wizkid ameweka rekodi kwenye mauzo | WhatsApp imeweka njia mpya ya kuhamisha chats | Fahamu njia za kupata Sound Effects bure
Jun 30, 2023
Davido atuhumiwa kumpa ujauzito mwanamke na kumtelekeza | Google imebadili logo ya Android | Insta 360 Go 3 imetoka rasmi
Jun 28, 2023
BET Awards 2023 | Instagram itaweza sehemu ya ku-download Reels | Akili Bandia ya Adobe Photoshop
Jun 26, 2023
2Pac amepewa Walk of Fame | Yaliyojiri kwenye WWDC23 | Akili Bandia ambazo zinaweza kukusaidia kurekebisha picha zako
Jun 09, 2023
Burna Boy ameweka rekodi ya kihistoria | Spotify inajaribu mfumo wa Akili Bandia ambayo itaweza kusoma matangazo | Fahamu kuhusu CapCut na TikTok
Jun 05, 2023
Kundi la Sauti Sol imetangaza kuvunjika | Mwanamke wa Kwa wa Kiarabu kwenda nje ya dunia | App 5 za Kamera za Simu
May 22, 2023
J Cole ametangaza atatoa Album mpya | Tanzania ipo katika mpango wa kurusha Satelaiti yake | CapCut imeweka Auto-Caption
May 19, 2023
Chris brown ametokea kwenye video challenge ya Davido | Sasa unaweza kuweka GIF kwenye comments za Instagram | Jinsi ya kutengeneza video kwa kutumia AI ya Kaiber
May 18, 2023
Usher amepewa Udaktari | Google imetambulisha Akili Bandia yake | Auto-caption kwenye ku-edit videos
May 15, 2023
Rihanna ameweka rekodi | Mwanzilishi wa Akili Bandia ameacha kazi Google ili kupinga madhara ya AI
May 03, 2023
Desiigner akutwa akichafua kwenye ndege | WhatsApp na Facebook kushirikiana katika matangazo | Kuweka video za High Quality kwenye mitandao ya kijamii
Apr 25, 2023
Davido ameweka rekodi ya dunia | Twitter imerudisha alama ya Blue Check | 6G imeweka historia | Akili Bandia kwenye Sauti
Apr 24, 2023
Daka Code - Season 2 (Intro)
Mar 15, 2023
Drake ajitoa Kwenye tuzo za Grammy | iOS 15.2 itadhibiti picha chafu kwa Watoto | Jinsi ya kuzuia vitu vyako visijulikane WhatsApp
Dec 07, 2021
WizKid ameweka rekodi nyingine katika mziki wake | Emoji bora zilizotumika sana Mwaka Huu | Template mpya katika TikTok, Cupcut, Videoleap na KineMaster
Dec 06, 2021
Kanye West ameomba kurudiana na Kim Kardashian | Apple Car itatoka 2025 | NASA imetuma chombo cha DART | Historia ya kamera ya GoPro
Nov 25, 2021
Serikali ya Malawi kumpa Ubalozi wa Bangi Mike Tyson | WhatsApp itaweka uwezo wa kutengeneza Stickers | Mabadiliko mapya ya Kinemasta
Nov 24, 2021
Adele amegoma kuendelea na Interview | Updates za Tech | Mbinu za Content Creator kutunza Followers
Nov 23, 2021
Season 2 ya Squid Game itakwepo | Clubhouse imeweka sehemu ya kurekodi mazungumzo | App bora za kamera kwa watumiaji wa Android
Nov 09, 2021
Travis Scott na undani wa sakata la Vifo vya Mashabiki katika Event ya Astroworld | Muonekano wa Galaxy S22 Ultra umevuja mtandaoni | Update mpya katika app za CapCut, Kinemaster, na TikTok
Nov 08, 2021
Mambo mazito ya kufahamu katika Interview ya Kanye West | Google Pixel haitakuwa na kamera nzuri kama Google Pixel 6 Pro | iPhone 13 itakuwa na chip ya 4nm
Nov 05, 2021
Jay Z amejiunga na kujitoa Instagram ndani ya Saa 24 | Instagram na Twitter zimeanza kumaliza bifu ugomvi wao uliodumu kwa miaka 9
Nov 04, 2021
Adele ametoa list ya nyimbo za Album yake mpya | Tesla imeanza kuruhusu aina nyingine za magari kuchaji katika vituo vyake | Snapchat, Facebook, Twitter na YouTube zimepata hasara ya zaidi ya Dola Bilioni 9.8
Nov 02, 2021
Kauli ya Drake kwa Eminem | Facebook imebadili jina la kampuni kuwa ni META | Instagram imeweka sehemu ya ku-post katika website yake
Oct 29, 2021
Meek Mill na Kesha Cole wameomba Record Label ziwalipe pesa zao | iOS 15.1 imetoka | Tesla imefikisha Market Cap Tril 1 | DJI imetoa kamera iliyounganishwa na Gimbal
Oct 26, 2021
Album mpya za Week hii | Travis Scott na Don Toliver kwenye stage | Drone iliyosafirisha Mapafu kwa dakika 6 | Apple Event
Oct 18, 2021
Adele ametoa nyimbo mpya | Mauzo ya Simu duniani | Canon imetoa lens ya Dual-Fisheye ya kurekodi video za VR
Oct 15, 2021
Tyga amejisalimisha polisi | Wizkid kufunga ndio na manager wake | Mfumo mpya wa Samsung One UI 4.0
Oct 13, 2021
Wizkid na Tems wameingia katika Top 10 ya Billboard | Instagram inaweka sehemu ya kuelezea matatizo ya kiufundi | iOS 15.0.2 imetoka
Oct 12, 2021
YouTube ya R.Kelly imefungiwa | Instagram inaondoa IGTV | Telegram imepata watumiaji Mil 70 baada ya Facebook kuwa na matatizo
Oct 06, 2021
Justin Beiber amezindua brand ya Cannabis | Facebook, Instagram na WhatsApp zilikuwa hazipatikani | Feature mpya katika app ya KineMaster
Oct 05, 2021
Kanye West amesajili DONDA katika brand za vifaa vya Electronic | WhatsApp inaweka mabadiliko katika Voice Messages | App inayotumia kamera kufanya hesabu
Oct 04, 2021
Mafanikio ya Tems katika Mziki | Android 12 itakuwa na uwezo wa kurekodi video katika hali ya hatari | Video ya kwanza kuwekwa YouTube
Oct 01, 2021
Justin Bieber ameongoza kusikilizwa Spotify Mwezi huu | Figo ya Bandia imeonyesha mafanikio makubwa | Facebook imeanza kuweka Reels katika Facebook
Sep 30, 2021
21 Savage afunguka kuhusu Funbase ya Drake Atlanta | App Tracking Transparency ya Apple haijafanikiwa kudhibiti app kutrack watu
Sep 29, 2021
R Kelly amekutwa na hatia | TikTok imefikisha watumiaji Bilioni 1 | Android 2.3 imefungiwa
Sep 28, 2021
NBA Young Boy ametoa Album mpya | Jason Derulo ameachana na mpenzi wake
Sep 24, 2021
Tems amekutana na Rihanna | Picha zilizopigwa na iPhone 13 Pro katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Tanzania
Sep 23, 2021
Birdman amefunguka kuhusu skendo yake na Lil Wayne | iOS 15 imekosa features nyingi katika iPhone za zamani
Sep 22, 2021
Drake Vs Michael Jackson | Style mpya ya kufunga Box za iPhone 13 | Features mpya za Telegram
Sep 21, 2021
Justin Beiber ameweka rekodi mpya katika Spotify | iOS 15 na mabadiliko yake | Sir. Clive Sinclair
Sep 20, 2021
Ikulu ya Marekani imemuita Nick Minaj | Waya wa Internet umeonekana katika ufukwe | App za Kupata taarifa za Battery percentage kwa Sauti
Sep 17, 2021
Album mpya ya Meek Mill | WhatsApp inajaribu kuweka Yellow Pages | AMC itaweka uwezo wa watu kununua tiketi kwa Crypto
Sep 16, 2021
Album ya Baby Keem | iPhone 13 | iPad mini | Apple Watch Series 7
Sep 15, 2021
Miaka 25 ya kifo cha 2Pac | iPhone zitakuwa na storage ya 1TB | App za Kamera maarufu katika Video record
Sep 13, 2021
BET Nominees | Apple Music kuanza kulipa DJ's Mixes | Jinsi ya kutumia Simu kama remote katika Smart TV
Sep 10, 2021
Rihanna amemshtaki baba yake | Event ya Apple September 14 | App ya kujaribu vitu kabla ya kununua online
Sep 08, 2021
Kifo cha Michael K. Williams | El Salvador imeanza kutumia Bitcoin | Fahamu kuhusu MegaPixel
Sep 07, 2021
Battle ya Kanye West na Drake | WhatsApp inajaribu kuweka Reactions | App 5 Bora za kutumia katika Video Editing
Sep 06, 2021
Ukweli kuhusu bifu ya Kanye West na Drake | Instagram imekuwa na matatizo siku ya Leo | Kamera yenye uzito mkubwa
Sep 02, 2021
Rappers wenye streams Bilioni 3 kwa mwaka huu | Apple imeweka uwezo wa kuhifadhi Driving License katika iPhone | Effects za 3D katika TikTok
Sep 01, 2021
Soulja Boy amelalamika kuhusu Album ya DONDA | China imepunguza muda wa kucheza games kwa watoto | Jinsi ya kutumia kamera ya simu katika app ya Google
Aug 31, 2021
Album ya Donda imetoka | iPhone 13 kuwa na uwezo wa mawasiliano na Satellite | App 5 bora kwa ku-edit picha
Aug 30, 2021
Christian Ronaldo amerudi Manchester United | Netflix imeanza kuweka games katika app ya Android | Jinsi ya kuweka cover katika Instagram Reels.
Aug 27, 2021
Mr Eazy amezindua PawaPay | Google inailipa Apple ili ipate upendeleo katika search ya Safari
Aug 26, 2021
Rick Ross amejibu kuhusu Bifu la Kanye West na Drake | Samsung imefungia TV zilizoibiwa | Xiaomi inaacha kutumia neno la 'Mi'
Aug 25, 2021
Bifu la Drake na Kanye West | Instagram inafuta style ya Swipe-Up | Jinsi ya kutumia simu kuona usiku
Aug 24, 2021
DaBaby kushiriki katika Summer Jam | YouTube imefikisha zaidi ya Content Creators Mil 2 wanaolipwa | Kutumia simu kama Mouse
Aug 23, 2021
Pete ya Gharama kubwa ya Young Thug | Netflix kuweka Spatial Audio | Siku ya Photography Duniani
Aug 19, 2021
Sakata la Lil Wayne kutaka kujiua | Kioo kipya cha Samsung Eco OLED | Google itaacha kuweka Charger kwenye box za Simu | Muanzilishi wa picha ya Selfie
Aug 18, 2021
R Kelly ameanguka kifedha | Android kuweka uwezo wa kutumia ishara za uso | Picha ya Kwanza ya Mwanadamu
Aug 17, 2021
Remix Mpya ya Wiz Kid, Tems na Justin Bieber | Twitter imebadili Fonts | Kamera zilizoweka Historia
Aug 13, 2021
Drake anaweza kutumia pesa nyingi Club | WhatsApp kuweka uwezo wa kuhamisha chat Android - iOS | Picha yenye Likes nyingi Instagram
Aug 12, 2021
50 Cent amemtetea DaBaby | Xiaomi imetoa Roboti mpya | Historia ya Photoshop
Aug 11, 2021
Celebrities wanaolipwa pesa nyingi kwenye Mitandao | Twitter imekutwa na ubaguzi | Jinsi ya kuweka Effects katika Insta na TikTok
Aug 10, 2021
Tetesi za Kanye West na Drake kutoa Album | Satelite za Matangazo | Simu ya Kwanza kuwa na Kamera
Aug 09, 2021
Kanye West bado hajatoa Album ya Donda | Album mpya ya Nas | Xiaomi inaongoza katika mauzo ya simu Duniani
Aug 06, 2021
Kanye West anatoa Album ya Donda | TikTok inajaribu kuweka Stories | Jinsi ya kutumia Simu kama Rimoti
Aug 05, 2021
Rihanna kuingia katika list ya maBilionea | Facebook kukusanya taarifa za WhatsApp | Jinsi ya Kutumia simu katika vipimo
Aug 04, 2021
Rekodi za WizKid kwenye Muziki wake | Chip Mpya ya Google | Mouse na Bluetooth kwenye Simu
Aug 03, 2021
Tuzo za Grammy | Facebook kuanza kuweka matangazo katika video fupi | Kwanini watu zamani walikuwa wanapiga picha bila ku-smile
Mar 15, 2021
Bruno Mars kushiriki Grammy | Mgunduzi wa Cassette tape Amefariki | Picha iliyotazamwa na watu wengi duniani
Mar 12, 2021
Kashfa ya Ubaguzi wa Rangi kwa Megan | Picha yenye gharama kubwa | Instagram Lite
Mar 10, 2021