Sepetuko

By Standard Media

Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.

Image by Standard Media

Category: Politics

Open in Apple Podcasts


Open RSS feed


Open Website


Rate for this podcast

Subscribers: 0
Reviews: 0
Episodes: 142

Description

Kurunzi ya falsafa inayoangazia bila woga masuala mazito yanayoiathiri jamii.

Episode Date
Matukio ndani ya UDA yanaonyesha upungufu wa sera.
Aug 01, 2024
Bunge la Kitaifa Laanza Msasa wa Mawaziri Walioteuliwa
Jul 31, 2024
Kumbukumbu ya Hatua za Kinidhamu na Maswali ya Hatima
Jul 30, 2024
Heshimu Wanahabari na Taaluma ya Uanahabari
Jul 25, 2024
Rais Ruto Askilize Vijana Kwa Matendo, Sio Vitisho: Sepetuko
Jul 24, 2024
Bustani ya Demokrasia
Jul 22, 2024
Kamwe tusiruhusu wahuni kurejea katika mitaa yetu, na siasa zetu.
Jul 19, 2024
Kuendeleza Uhuru wa Vyombo vya Habari ni Kudumisha Demokrasia ya Kenya
Jul 18, 2024
Dhuluma Dhidi ya Uhuru wa Habari
Jul 17, 2024
Miili Tisa Kware Yazua Maswali Kuhusu Ufanisi wa Usalama
Jul 16, 2024
Kupunguzwa kwa Washauri Serikalini
Jul 11, 2024
Kenya Baada ya Miaka Sitini: Mabadiliko Makubwa Yaja!
Jul 10, 2024
Mgomo wa Maafisa wa Kliniki Wamalizika Baada ya Siku 99
Jul 09, 2024
Hongera kwa Serikali kwa Kubadili Mwenendo na Kuwasikiliza Raia
Jul 08, 2024
Unyenyekevu wa Wanasiasa Baada ya Maandamano ya Vijana
Jul 04, 2024
Maandamano Yafanyike Kwa Amani
Jul 03, 2024
Tishio kwa Amani na Utawala wa Sheria
Jul 02, 2024
Matatizo ya serikali yanatokana na Rais asiyeaminika
Jul 01, 2024
Uwezo wa Vijana Katika Maandamano ya Demokrasia
Jun 28, 2024
Aibu Kwa Bunge la Kitaifa!
Jun 27, 2024
Ulinzi wa Amani au Uvunjaji wa Haki za Binadamu?
Jun 26, 2024
Sauti ya Vijana Haipuuzwi Tena
Jun 25, 2024
Serikali Yalazimika Kukubali Ukweli wa Maandamano ya Vijana
Jun 24, 2024
Maandamano ya Amani: Kulinda Haki za Wananchi wa Kenya na Katiba
Jun 21, 2024
Maandamano ya Wakenya dhidi ya Mswada wa Fedha wa 2024
Jun 20, 2024
Maandamano ya Wakenya Dhidi ya Mswada wa Fedha
Jun 19, 2024
Udhaifu wa Maamuzi ya Bunge
Jun 18, 2024
Junior Starlets Wafuzu kwa Kombe la Dunia la Wanawake Chini ya Miaka 17
Jun 18, 2024
Pengo Kubwa katika Bajeti ya 2024/2025
Jun 14, 2024
Kuwajibika kwa Mafao ya Rais Mstaafu: Je, Jopo ni Lazima?
Jun 13, 2024
Heko Rais Ruto Kwa Kushughulikia Malalamishi ya Kenyatta
Jun 12, 2024
Hujuma kwa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta. Ni Aibu kwa Taifa.
Jun 11, 2024
Sharti rais Ruto na Gachagua wakomeshe ukabila
Jun 10, 2024
Uongozi wa Wanawake: Kutimiza Ndoto za Uongozi wa Kike Kenya
Jun 04, 2024
KIONGOZI WA KITAIFA AU MSIMAMIZI WA ENEO?
Jun 03, 2024
Ruto Alifadhiliwa na Nani Kuenda Marekani?
May 31, 2024
Serikali Ilenge Kupanua Idadi Ya Walipa Ushuru
May 30, 2024
Serikali Izingatie Maoni ya Wananchi Kuhusu Mswada wa Fedha wa 2024
May 29, 2024
Athari za Kutuma Maafisa wa Polisi Haiti
May 28, 2024
Ruto Aambia Dunia KQ ni Ghali Kuliko Ndege Binafsi
May 27, 2024
Safari ya Haki: Balozi wa Uingereza Azuru Kenya Kutafuta Ukweli kwa Agnes Wanjiru
May 24, 2024
Serikali Itatue Mgomo wa Walimu wa JSS Kuokoa Elimu
May 23, 2024
Mgao wa Fedha za Serikali Kwa Idadi ya Watu Unahatarisha Umoja Wetu
May 21, 2024
Okoa Mpango wa Lishe Shuleni
May 20, 2024
Mswada wa Fedha 2024/2025: Je, Kenya Kwanza Inakujali Wewe?
May 17, 2024
Ruto na Ushuru: Kutatua Deni au Kutatua Ufisadi?
May 16, 2024
Mswada wa Fedha wa Mwaka wa 2024/2025: Je, Ni mzigo Mpya Kwa Wananchi?
May 15, 2024
Fedha za Elimu: Hatari kwa Maendeleo ya Elimu ya JSS
May 13, 2024
Mipango ya Kupambana na Ufisadi Kutoka Fiji hadi Kenya: Kesi ya Frank Bainimarama
May 10, 2024
Sakata ya mbolea ghushi: Kesi ya Waziri Mithika Linturi
May 09, 2024
Hatari Zinazokumba Jamii: Athari za Mafuriko kwa Makazi karibu na Mito
May 07, 2024
Kutenga Fedha kwa Ajili ya Waathiriwa wa Mafuriko: Wito wa Uwajibikaji
May 06, 2024
Kilio cha Mfanyakazi Mkenya
May 02, 2024
Janga la Mafuriko: Msaada wa Dharura Unahitajika!
Apr 30, 2024
Nini cha Kufanya Wakati wa Mafuriko
Apr 29, 2024
Mafuriko Yanabainisha Udhaifu wa Serikali na Miundombinu Duni
Apr 26, 2024
Huduma za Afya Zimepooza kwa Siku 40: Serikali Inawajali Wakenya Kweli?
Apr 24, 2024
Kifo cha CDF Ogolla Kimezua Maswali Mengi; Wakenya Wadai Majibu
Apr 22, 2024
Serikali Inajitahidi Kweli Kupunguza Matumizi?
Apr 18, 2024
Mgogoro wa Madaktari Unahatarisha Maisha ya Wengi
Apr 17, 2024
Nairobi Yazamishwa na Mafuriko: Serikali Iko Wapi?
Apr 16, 2024
Mbolea Ghushi: Serikali Yajichanganya
Apr 12, 2024
Mgomo wa Madaktari: Uhai wa Wakenya Uko Hatarini
Apr 11, 2024
Iweje Serikali Ikose Pesa Kulipa Madaktari, Lakini Iwe na za MaCAS na Ziara za Viongozi?
Apr 09, 2024
Usalama Barabarani: Kila Mtu Akiwajibika Kupunguza Ajali
Apr 08, 2024
Uchaguzi wa UDA: Uingiliaji wa Serikali Kupitia Wenyeviti wa KRA na KPLC?
Apr 04, 2024
Masomo kwa Kenya Kutoka kwa Ufanisi wa Diomaye Faye, Rais Mpya Wa Senegal
Apr 03, 2024
Mgogoro wa Afya: Maisha ya Wakenya Yapo Hatarini!
Apr 02, 2024
Rais Ruto Awe Kiongozi Mwenye Uzalendo, Atatue Mgomo wa Madaktari: SEPETUKO
Mar 28, 2024
Wetangula Dhidi Ya Natembeya: Bora Kwa Demokrasia Ila Sio Kwa Vurugu
Mar 27, 2024
Je, Nairobi Iko Tayari Kukabiliana na Mvua Kubwa?
Mar 26, 2024
Mgomo wa Madaktari: Wananchi Waathirika, Suluhisho Lahitajika Haraka
Mar 25, 2024
Mgomo wa Madaktari, Ukosefu wa Ajira, Ufisadi Vyaongezea Huzuni kwa Wakenya: SEPETUKO
Mar 22, 2024
Ni Nani Anayewajibika kwa Mbolea Ghushi?- Sepetuko
Mar 21, 2024
Rita Tinina: Mwanamke Jasiri Aliyevunja Vizuizi Katika Sekta ya Habari: Sepetuko
Mar 19, 2024
Wito kwa Rais Ruto Kuzuia Maziko ya Vyombo vya Habari: Sepetuko
Mar 18, 2024
Mgomo wa Madaktari: Serikali Yalaumiwa Kwa Kupuuza Afya ya Wananchi
Mar 15, 2024
Siasa za Urithi ODM: Nani Afaa Kuvaa Kiatu cha Odinga?- SEPETUKO
Mar 13, 2024
Kenya Kusaidia Haiti- Je, Ni Kafara au Ushujaa?: Sepetuko
Mar 11, 2024
Miaka 30 ya Kusubiri-Mwanajeshi Mstaafu Ahangaika Kupata Pensheni
Mar 07, 2024
Namwamba; kuna mwamba kuboresha spoti | Sepetuko Podcast
Oct 14, 2022
Baa la njaa; tupande mimea aina-aina | Sepetuko Podcast
Oct 14, 2022
Mateso ya Wakenya Saudia; serikali iingilie | Sepetuko
Sep 15, 2022
Uchaguzi wa amani Kenya | Sepetuko
Sep 15, 2022
Ruto alishinda, yasema Mahakama; kazi yamsubiri | Sepetuko
Sep 15, 2022
Sepetuko Podcast; Kwa kutegemea kura za Mt Kenya Ruto ateleza!
Feb 13, 2022
Sepetuko Podcast; Mbona hamkumtaja BABA kuwa msaliti, mbona akawa Mudavadi?
Jan 28, 2022
Sepetuko Podcast; Uanasiasa wa mwanasiasa Dkt Matiangi
Dec 17, 2021
Sepetuko Podcast; Ukweli wa jina BABA ni safari ndefu ajabu!
Dec 13, 2021
Sepetuko Podcast; Raila bado kupanda mlima- angali na kazi nzito mbele yake!
Dec 09, 2021
Sepetuko Podcast; Uchumi wa Fuliza sio utajiri!
Dec 03, 2021
Sepetuko Podcast; Iwapo uchumi umekua mbona vijana hawapati kazi?
Dec 02, 2021
Sepetuko Podcast; George Kinoti ajipeleke jela ahudumie kifungo kwanza!
Nov 30, 2021
Sepetuko Podcast; Ubaguzi dhidi ya Afrika kufuatia ugunduzi wa virusi vya Omicron
Nov 29, 2021
Sepetuko Podcast; Mike Sonko aomboleza ‘mkasa’ wa kupoteza ugavana!
Nov 24, 2021
Sepetuko Podcast; JE bodaboda watakataa pesa za abiria ambao hawajachanjwa?
Nov 23, 2021
Sepetuko Podcast; Wafanyakazi wadogo kubebeshwa mzigo wa makosa ya wakubwa!
Nov 22, 2021
Sepetuko Podcast; Wepesi katika kukabili suala la Kamiti- lakini imekuwapo walakin!
Nov 19, 2021
Sepetuko Podcast; Kumzuia Miguna Miguna kunaipa serikali sifa mbaya
Nov 18, 2021
Sepetuko Podcast; FKF imekuwa kaburi la kuzika vipawa vya soka
Nov 16, 2021
Sepetuko Podcast; Uteketezaji shule- je walimu wakuu huwasikiza wanafunzi?
Nov 10, 2021
Sepetuko Podcast; Wanafunzi kuteketeza shule kunaashiria tatizo kuu zaidi katika jamii!
Nov 09, 2021
Sepetuko Podcast; Kuwafuta kazi wafanyakazi KEMSA ni kukosa busara ya kifalme
Nov 08, 2021
Sepetuko Podcast; Suala la kisomo cha Oscar Sudi laibua maswali kadhaa!
Nov 04, 2021
Sepetuko Podcast; Unafiki wa kutaka mawaziri wahusikao siasa wajiuzulu
Nov 01, 2021
Sepetuko Podcast; Ndoa ya kisiasa ya Anne Waiguru na Mwalimu Ruto PhD
Oct 29, 2021
Sepetuko Podcast; Fedheha za Anwar Loitiptip- Seneta wa Lamu.
Oct 26, 2021
Sepetuko Podcast; Sarakasi za Ugavana Nairobi- Jiji yafaa liondolewe miongoni mwa kaunti
Oct 25, 2021
Sepetuko Podcast; BABA na Mwalimu Ruto wabembeleza kura Kirinyagah
Oct 21, 2021
Sepetuko Podcast; Ahadi kwa mjane wa Dedan Kimathi na Mau Mau
Oct 19, 2021
Sepetuko Podcast; Siasa ni mchezo wa kibinadamu wala hamna Mungu mle
Oct 18, 2021
Sepetuko Podcast; Hofu ya kusalitiwa yachelewesha miungano ya siasa kwa ajili ya 2022
Oct 14, 2021
Sepetuko Podcast; Nani yu tayari kuiga njia aliyofuata Dkt John Pombe Magufuli?
Oct 13, 2021
Sepetuko Podcast; Ondoa utumbili kwanza, jenga uadilifu nchini Kenya
Oct 12, 2021
Sepetuko Podcast; Hofu yachochea mikutano ya Mt Kenya Foundation.
Oct 08, 2021
Sepetuko Podcast; Ufichuzi wa Pandora
Oct 07, 2021
Sepetuko Podcast; IEBC yagharamika zaidi kwa sababu ya ukosefu wa uaminifu nchini.
Oct 05, 2021
Sepetuko Podcast;Kizungumkuti cha Mt Kenya kumpigia kura mtu asiye asili wa eneo
Oct 01, 2021
Sepetuko Podcast;Kizungumkuti cha Mt Kenya kumpigia kura mtu asiye asili wa eneo
Oct 01, 2021
Sepetuko Podcast; Athari za Uchina ni ajenda muhimu 2022
Sep 29, 2021
Sepetuko Podcast; Ukienda kwa wakwe kupeleka posa, andamana na vijana wa sura nzuri!
Sep 28, 2021
Sepetuko Podcast; Raila abadilisha mbinu za kutafuta kura
Sep 27, 2021
Sepetuko Podcast; Ughali wa mafuta; Bunge latoa kauli za ndumakuwili
Sep 23, 2021
Sepetuko Podcast; Kejeli za wanasiasa wa Mt Kenya
Sep 21, 2021
Sepetuko Podcast; Kuelimika ni kutohusika ufisadi na wizi
Sep 20, 2021
Sepetuko Podcast; Sakata ya Rio-Utumbili unaoathiri ushujaa michezoni
Sep 18, 2021
Sepetuko Podcast; Ughali wa mafuta-Serikali isiyomjali raia
Sep 16, 2021
Sepetuko Podcast; Ahadi za Raila Odinga kwa Wamaasai
Sep 15, 2021
Sepetuko Podcast; Kuwarekebisha viongozi ni jukumu la kanisa
Sep 14, 2021
Sepetuko Podcast; Mkasa wa Laikipia una mizizi kwenye siasa
Sep 13, 2021
Sepetuko Podcast; Kuwashirikisha wazazi kwenye masomo ya wanao hufanywa tofauti
Sep 09, 2021
Sepetuko Podcast: CBC mtihani mkubwa kwa wazazi
Sep 08, 2021
Sepetuko Podcast: Jubilee Imeshindwa Kumkabili Ruto; Inajiaibisha!
Sep 07, 2021
Sepetuko Podcast; ODM, Wacha Vita na IEBC; Tumia 'System' Kuwafidia Waliodhulumiwa -ndiyo kazi muhimu
Aug 18, 2021
Sepetuko Podcast; Museveni Anawajali Wanariadha Kuliko Uhuru; Aibu ya Kuwatuza Siku 10 Baadaye
Aug 18, 2021
Sepetuko Podcast; Uhuru ameamua ni Raila - kuondoa chuki za kihistoria
Aug 13, 2021
Sepetuko Podcast: Wakimbiaji wa Uganda wapokewa kishujaa; wa Kenya wapuuzwa
Aug 11, 2021
Sepetuko Podcast: Rais Uhuru, kumwaibisha Ruto ni kukosa ufalme
Aug 05, 2021
Sepetuko Podcast: Ruto, jifunze kupitia CCM ya TZ na ANC ya Afrika Kusini, si NRM ya Museveni
Aug 05, 2021
SEPETUKO PODCAST; Ni Vigumu kwa Odinga Kukubalika Mlima Kenya -Chuki za Kihistoria
Jul 30, 2021
SEPETUKO PODCAST; Uadui Kati ya Jaramogi na Kenyatta; Athari Zingalipo
Jul 30, 2021
SEPETUKO PODCAST: Kutoaminiana na kusalitiana katika NASA; hakuna utu-uzima
Jul 23, 2021