SHADOTUBE

By DENIS L. NTABULUGWA

Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.


Category: Self-Improvement

Open in Apple Podcasts


Open RSS feed


Open Website


Rate for this podcast

Subscribers: 0
Reviews: 0
Episodes: 22

Description

Karibu kwenye Podcast yangu! Nimeanzisha podcast hii kwa madhumuni makuu matatu muhimu: Kwanza, ni jambo ninalopenda kufanya. Pili, ni kwa lengo la kuwasaidia wengine. Tatu, ni kwaajili ya kufikia malengo makuu maishani. Popote ulipozaliwa au kukulia, nitakusaidia kupitia ujuzi wote niliojifunza na kufundishwa na wengine. Lengo langu ni kukusaidia kutimiza mahitaji yako, mipango yako, na ndoto zako katika ulimwengu wa teknolojia - kupitia maudhui ya video na sauti yenye ubora. Nimekuwa nikijifunza namna ya kuwasaidia wengine tangu udogo wangu, na baada ya kupitia changa moto nyigi.

Episode Date
Suluhisho za Tatizo la FaceID ya iOS - Ufafanuzi wa Kina.
Aug 03, 2025
iOS 26 : Mabadiliko Makubwa ya Apple Unayostahili Kujua, "iOS 26 Updates: Revolutionary Change."
Jun 12, 2025
🔥 Podcast Editing Hacks: Mafunzo ya Kisasa ya Kutengeneza Audio Bora
May 25, 2025
🏆 Tanzania's Tech Pride: Officially Apple Certified Professional.
Jun 08, 2024
Tuongee Teknolojia: Mazungumzo ya Kisasa kuhusu Dunia ya kidigitali.
Apr 29, 2024
Tanzania Content Creators
Apr 21, 2024
Asanteni sana
Mar 11, 2024
Unaionaje sarafu mpya ya EAST AFRICA, maona ni mwanzo mzuri sasa wa kuongeza ukuaji wa jumuiya yetu.
Mar 05, 2024
Bandle
Dec 22, 2023
Shorts Custom Thumblenail for your youtube shorts videos.
Oct 28, 2023
Linda simu yako dhidi ya upotevu.
Oct 21, 2023
DV-2024 Program: Ungana na mimi hatua kwa hatua.
Aug 17, 2023
Asanteni sana wasikilizaji wangu, kama unatamani kufungua na kujifunza podcast, usisite kuuliza.
Mar 12, 2023
Kabisaa sio masihala mahusiano ya sasa ni petrol inayotembea.
Jan 16, 2023
Shukrani zangu kwa ushinfi wa yanga leo
Nov 09, 2022
Gundua jinsi gani una channel yako ndani ya YouTube bila kujua. Ila unaweza.
Aug 09, 2022
Karibuni sana katika podcast yangu.
Aug 05, 2022
Ungana na sisi kakatika kukua zaidi katika biashara ya Forex.
Feb 15, 2022
S01EP002 | Elewa maana halisi ya forex kwa mwalimu wa forex aitwae GREENBACKS.
Jan 25, 2022
S01EP001 | Ufafanuzi wa rebet service ambayo inatolewa na kijana wa kitanzania | GREENBACKS.
Jan 25, 2022
Njia ya kuweka pesa yako ndanii ya Hotforex bila kupitia kwa LD
Nov 22, 2021
Karibuni sana wana africa mashariki tuweze kuzungumza tech.
Oct 06, 2021