Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.
Episode | Date |
---|---|
LIVE TALK: DRC imetishia kushitaki Rwanda katika mahakama ya ICJ kutokana na vita vya waasi wa M23 - Mei 17, 2024
|
May 17, 2024 |
DRC inataka Marekani na umoja wa Ulaya kuiwekea Rwanda vikwazo - Mei 16, 2024
|
May 16, 2024 |
Jioni - Mei 15, 2024
|
May 15, 2024 |
Wasiwasi watanda katika jimbo la Kivu Kusini, DRC, baada ya watu 18 kuuawa na watu wanaodhaniwa kuwa waasi wa ADF - Mei 14, 2024
|
May 14, 2024 |
Burundi na Rwanda zaingia katika mvutano baada ya shambulizi la Bujumbura. - Mei 13, 2024
|
May 13, 2024 |
Mamlaka ya Tunisia yaamuru kukamatwa kwa wachambuzi wawili wa siasa - Mei 12, 2024
|
May 12, 2024 |
Jarida la wikendi limeangazia siasa za Marekani kuelekea uchaguzi wa 2024 - Mei 11, 2024
|
May 11, 2024 |
Shinkizo la kutaka mabadiliko ya sheria za uchaguzi Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025 - Mei 10, 2024
|
May 10, 2024 |
Umoja wa Ulaya kimsingi umeridhia makubaliano ambayo yatatumia mapato kutoka kwa mali za Russia zilizozuiwa kusambaza silaha kwa Ukraine. - Mei 09, 2024
|
May 09, 2024 |
Madaktari nchini Kenya wamesitisha mgomo wao ambao umedumu kwa takribani siku 56. - Mei 08, 2024
|
May 08, 2024 |
Wachunguzi wa Ukraine wanasema walizima mpango wa mawakala wa Russia wa kumuua Rais Volodymyr Zelenskyy. - Mei 07, 2024
|
May 07, 2024 |
Mataifa ya Afrika mashariki yameamua kushirikiana katika ujenzi wa reli ya mwendo kasi SGR ili kuimarisha uchumi na uchukuzi wa nchi hizo. - Mei 06, 2024
|
May 06, 2024 |
Israel yafunga matangazo ya Al Jazeera - Mei 05, 2024
|
May 05, 2024 |
Shirika la hali ya hewa Duniani linaonya athari za kimbunga Hidaya kinachotarajiwa kutua Tanzania na Kenya. - Mei 04, 2024
|
May 04, 2024 |
Hali ya uhuru wa waandishi na vyombo vya habari Afrika Mashariki - Mei 03, 2024
|
May 03, 2024 |
Serekali ya DRC yamuagiza gavana wa Ituri kuwafurusha na kuwarudisha kwao raia wote wa China wanaochimba migodi kinyume cha sheria - Mei 02, 2024
|
May 02, 2024 |
Rwanda inasema imebuni ajira milioni 1,300,000 miaka mitano iliyopita - Mei 01, 2024
|
May 01, 2024 |
Serikali ya Kenya yawaagiza raia wanaoishi katika maeneo yanayokabiliwa na mafuriko kuondoka ndani ya saa 48 - Aprili 30, 2024
|
Apr 30, 2024 |
Darzeni ya watu wamefariki nchini Kenya baada ya bwawa kupasuka katika kaunti ya Nakuru kutokana na mvua kubwa zinazonyesha nchini humo. - Aprili 29, 2024
|
Apr 29, 2024 |
Qatar inawasihi Israel na Hamas kuonyesha kujitolea na umakini mkubwa katika mashauriano ya kusitisha mapigano huko Gaza. - Aprili 28, 2024
|
Apr 28, 2024 |
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amejigamba kuhusu mafanikio katika nchi hiyo chini ya uongozi wa chama chake cha ANC - Aprili 27, 2024
|
Apr 27, 2024 |
Live Talk kuhusiana na vita dhidi ya ugonjwa wa Malaria, baada ya siku ya Malaria Duniani ikiadhimishwa Alhamisi - Aprili 26, 2024
|
Apr 26, 2024 |
Watafiti wa afya wayaomba mataifa ya Afrika kuchukua hatua zaidi kupambana na Malaria - Aprili 25, 2024
|
Apr 25, 2024 |
Jioni - Aprili 24, 2024
|
Apr 24, 2024 |
Wachambuzi wa uchumi nchini Uganda wanaitaka serikali kupunguza kiwango cha kodi kwa wafanyabiashara - Aprili 23, 2024
|
Apr 23, 2024 |
Jioni - Aprili 22, 2024
|
Apr 22, 2024 |
Mamia ya watu waliandamana nchini Niger kupinga uwepo wa wanajeshi wa Marekani katika eneo linalotawaliwa na jeshi la Niger. - Aprili 21, 2024
|
Apr 21, 2024 |
Jioni - Aprili 20, 2024
|
Apr 20, 2024 |
Serikali ya Kenya na chama cha madaktari waanza mazungumzo kutafuta suluhu kwa mgomo wa madaktari - Aprili 19, 2024
|
Apr 19, 2024 |
Jioni - Aprili 18, 2024
|
Apr 18, 2024 |
Mahakama ya Katiba ya Uganda yakataa kubatilisha sheria kali iliopitishwa na bunge dhidi ya wapenzi wa jinsia moja. - Aprili 17, 2024
|
Apr 17, 2024 |
Madaktari wa Kenya wameapa kuendelea na mgomo wao hadi pale serikali itakapotimiza matakwa yao. - Aprili 16, 2024
|
Apr 16, 2024 |
Wachambuzi wasema kuwa uchaguzi wa Senegal huenda ukabadili mwelekeo wa kisiasa wa kieneo. - Aprili 15, 2024
|
Apr 15, 2024 |
Watu zaidi ya milioni 8.4 huko Sudan wakiwemo watoto milioni mbili walio chini ya miaka mitano wako ukingoni mwa baa la njaa; inasema MSF. - Aprili 14, 2024
|
Apr 14, 2024 |
Jioni - Aprili 13, 2024
|
Apr 13, 2024 |
Wazazi wenye watoto wa Autism pamoja na wataalamu wa Afya wanaelezea ugonjwa wa Usonji au Autism na changamoto zake katika maisha - Aprili 12, 2024
|
Apr 12, 2024 |
Jioni - Aprili 11, 2024
|
Apr 11, 2024 |
Kipindi maalum cha salaam za Eid kutoka studio za VOA, Washington - Aprili 10, 2024
|
Apr 10, 2024 |
Jioni - Aprili 09, 2024
|
Apr 09, 2024 |
Wafanyabiashara nchini Uganda wameandamana kupinga ongezeko la kodi na sera ya kodi isiyo ya haki katika nakala za fedha za kielektronik - Aprili 08, 2024
|
Apr 08, 2024 |
Jioni - Aprili 07, 2024
|
Apr 07, 2024 |
Rwanda inajiandaa kuadhimisha miaka 30 ya mauaji ya Kimbari - Aprili 06, 2024
|
Apr 06, 2024 |
Jioni - Aprili 05, 2024
|
Apr 05, 2024 |
Jioni - Aprili 04, 2024
|
Apr 04, 2024 |
Jioni - Aprili 03, 2024
|
Apr 03, 2024 |
Dunia inaadhimisha siku ya Usonji au Autism huku wazazi wanaoishi na watoto wenye tatizo hilo wanaelezea changamoto zilizopo katika matibabu - Aprili 02, 2024
|
Apr 02, 2024 |
Jioni - Aprili 01, 2024
|
Apr 01, 2024 |
Mapato kutokana na utalii nchini Kenya yaliongezeka takribani theluthi moja mwaka 2023 - Machi 31, 2024
|
Mar 31, 2024 |
Vatican yathibitisha kuwa Papa Francis ataongoza ibada ya mkesha wa Pasaka - Machi 30, 2024
|
Mar 30, 2024 |
Mazungumzo ya Live Talk kuhusu Ijumaa kuu pamoja na wikiendi ya Pasaka kwa ujumla. - Machi 29, 2024
|
Mar 29, 2024 |