Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.
Nendiwe Podcast na Mary Rusimbi inalenga kupanua maarifa, uelewa na uchambuzi wa kina kuhusu ustawi, utunzaji na uponyaji kwa mtazamo wa kifeminia. Kupitia mazungumzo haya, tunahoji na kuifumua mifumo ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni inayochangia kudhoofisha ustawi wa wanawake na wasichana, huku tukihamasisha mabadiliko yanayojenga ustawi wa kifeminia, haki, utu na maisha yenye usawa
| Episode | Date |
|---|---|
|
USTAWI WA KIFEMINIA NI NINI?
|
Nov 13, 2026 |
|
Nendiwe Podcast S1E3 USTAWI WA KIFEMINIA NI NINI?
|
Nov 13, 2026 |
|
UFEMINIA NI NINI?
|
Oct 30, 2026 |
|
KARIBU NENDIWE
|
Oct 24, 2026 |